SALAMU ZA PONGEZI: HONGERA SANA NDG. MOHAMED ALI MOHAMED (KAWAIDA) KWA KUTEULIWA KUWA MLEZI WA CCM MKOA WA MOROGORO NA VYUO NA VYUO VIKUU.

Location:
Date Posted: May 9, 2023
Application deadline: Dec 3, 2024

Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu pamoja na Viongozi wa Seneti na Viongozi wa Matawi ya UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu tunakupongeza Ndg. Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa kuteuliwa kuwa Mlezi wa CCM Mkoa wa Morogoro na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu.

Tunakutakia kila la heri katika utekelezaji wa majukumu haya mapya na sisi tupo pamoja nawe katika kuitenda kazi.


#HongeraSanaKawaida

#JisajiliSasa

#VyuoNaVyuoVikuu

#UkomboziWaFikiraNaHali