Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inakukaribisha katika kikao kati ya Katibu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Viku Ndg. Emmanuel Martin na Viongozi wa Seneti.
Mada: Kikao na Viongozi wa Seneti.
Tarehe: 20 Aprili 2023.
Muda: 01:30 Usiku.
Meeting ID: 870 7057 8324
Passcode: 123456.
Kujiunga tafadhali gusa kiunganishi (link) hiki https://rb.gy/h2cxh
"Seneti ni Nguzo ya UVCCM Imara."
#VyuoNaVyuoVikuu
#JisajiliSasa
#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
#AlipoMamaVijanaTupo