TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA 1,152

Location:
Date Posted: Apr 19, 2023
Application deadline: Apr 25, 2023

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa 

Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu Moja Mia Moja Hamsini na Mbili (1,152) kama ilivyoainishwa:


  1. MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR II) NAFASI - 52.
  2. AFISA WA SHERIA DARAJA LA II (LEGAL OFFICER GRADE II) – NAFASI 83.

3⃣ AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER) – NAFASI 9.

4⃣ AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICER II) – NAFASI 42.

5⃣ WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II (STATE ATTORNEY II) - NAFASI 7.

6️⃣ MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II – NAFASI 4.

7️⃣ AFISA MUUGUZI MSAIDIZI II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) – NAFASI 6.

8️⃣ MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II) – NAFASI 59.

9️⃣ MTUNZA BUSTANI DARAJA LA II - (GARDNER II) NAFASI – 3).

🔟 FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MECHANICAL TECHNICIAN II) – NAFASI 10.

1️⃣1️⃣ MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER II) – NAFASI 20.

1️⃣2⃣ MHANDISI DARAJA LA II UMEME (ELECTRICAL ENGINEER II) - NAFASI 30.

1️⃣3⃣ AFISA UTAMADUNI II (CULTURAL OFFICER GRADE II) – NAFASI - 13.

1️⃣ MSANIFU MAJENGO DARAJA LA II (ARCHITECT II) – NAFASI- 12.

1️⃣AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II (COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER 

GRADE II) – NAFASI 800.

 MPIGA CHAPA MSAIDIZI DARAJA II (ASSISTANT PRINTER II) - NAFASI 2.


Mwisho wa kutuma maombi ya kazi: 25 Aprili, 2023.


 Anuani ya barua:


KATIBU,

OFISI YA RAIS,

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,

S.L.P. 2320,

DODOMA.


Njia ya Maombi: Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani http://portal.ajira.go.tz/
#VyuoNaVyuoVikuu

#JisajiliSasa

#TunaImaniNaSamia

#KaziIendelee


Download