AJIRA: TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU.

Location:
Date Posted: Apr 13, 2023
Application deadline: Apr 25, 2023

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepata kibali cha ajira za watumishi wa kada za afya na ualimu wa shule za msingi na sekondari watakaofanya

kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Idadi

Afya - 8,070.

⬛ Ualimu - 13,130.

Muda wa Maombi

Kufunguliwa: 12 Aprili 2023.

⬛ Kufungwa: 25 Aprili 2023.

Njia ya kutuma maombi

⬛ Kupitia mtandao; kiunganishi cha ajira.tamisemi.go.tz

Wahitimu Wanaohusika

  1. Astashahada (Certificate).
  2. Stashahada (Diploma).
  3. Shahada (Degree).

Mawasiliano

Kwa changamoto yeyote, tafadhali piga simu Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa namba za simu:

0262 160 210

⬛ 0735 160 210.






#JisajiliSasa

#VyuoNaVyuoVikuu

#UkomboziWaFikiraNaHali

#AlipoMamaVijanaTupo


Download