Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu inapenda kuwataarifu vijana wa kitanzania juu ya uwepo wa fursa mbalimbali za kitaifa na kimataifa kama masomo, semina, mikutano na mashindano mbalimbali.
Ewe kijana, tembelea tovuti hizi, ili uweze kunufaika na fursa zilizopo kwa ajili ya vijana.
#JisajiliSasa
#VyuoNaVyuoVikuu
#UkomboziWaFikraNaHali
AlipoMamaVijanaTupo
#KaziIendelee