Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inakukaribisha katika mazungumzo baina ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) na vijana wa kitanzania wanaosoma nje ya nchi (Diaspora).
Mada: Mazungumzo na UVCCM Diaspora
Tarehe: 11 Machi 2023
Muda: 01:30 Usiku
Meeting ID: 852 643 2988
Passcode: 123456
"Ewe Kijana wa Kitanzania Unayesoma Nje ya Tanzania, Njoo Tujenge Nchi Yetu."
Kujiunga tafadhali gusa kiunganishi (link) hiki.
#AlipoMamaVijanaTupo
#JisajiliSasa
#VyuoNaVyuoVikuu
#UkomboziWaFikiraNaHali