ZOOM: RATIBA YA MAZUNGUMZO NA UVCCM DIASPORA.

Location:
Date Posted: Jan 27, 2023
Application deadline: Jan 28, 2023

Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inakukaribisha katika mazungumzo baina ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Mohamed (Kawaida) na vijana wa kitanzania waishio nje ya nchi (Diaspora).

Mada: Mazungumzo na UVCCM Diaspora

Tarehe: 28 Januari 2023

Muda: 01:30 Usiku - 03:30 Usiku

Meeting ID: 424 382 0626

Passcode: 123456

Kujiunga katika mazungumzo haya, tafadhali gusa hapa

"Ewe Kijana wa Kitanzania Unayesoma/Unaishi Nje ya Tanzania, Njoo Tujenge nchi yetu."

#AlipoMamaVijanaTupo

#JisajiliSasa

#VyuoNaVyuoVikuu

#UkomboziWaFikiraNaHali
Download