SALAMU ZA HERI: SIKUKUU NJEMA YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2023 KWA WANACHUO NA WAHITIMU WOTE.

Location:
Date Posted: Dec 25, 2022
Application deadline: Dec 25, 2022

Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu inawatakia wanachuo na wahitimu wote heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2023. 

Tusherehekee kwa kudumisha amani, furaha na upendo; sambamba na kuendelea kujisajili katika Mfumo wa Vyuo na Vyuo Vikuu.

#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
#AlipaMamaVijanaTupo


Download