SAMIA SCHOLARSHIP 2022

Location:
Date Posted: Sep 29, 2022
Application deadline: Mar 5, 2024

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanzisha programu ya Ufadhili wa Masomo iitwayo SAMIA SCHOLARSHIP kwa wanafunzi wa shahada ya kwanza hapa nchini wenye ufaulu wa juu katika mitihani ya Kidato cha Sita 2022 kwa Tahasusi za Sayansi.


Download

Download

Download

Download