Tunawatakia wanachuo na wahitimu wote maadhimisho mema ya siku ya mtoto wa Afrika.
Ni wajibu wetu wanachuo na wahitimu kuwa mfano wa kuigwa kwa tabia na mienendo mizuri kwa watoto ambao ni wanachuo wa kesho.
"Tuimarishe Ulinzi wa Mtoto; Tokomeza Ukatili Dhidi Yake; Jiandae Kuhesabiwa"
#SikuYaMtotoWaAfrika
#JisajiliSasa
#VyuoNaVyuoVikuu
#UkomboziWaFikiraNaHali