MAHAFALI YA UVCCM SENETI YA MKOA WA MWANZA

Location: BOT - MWANZA
Date Posted: Jun 11, 2022
Application deadline: Jun 12, 2022

UVCCM Seneti ya Mkoa wa Mwanza inawakaribisha wahitimu, wanachama na wakereketwa wote wa CCM katika Matawi yote ya Vyuo na Vyuo Vikuu mkoa wa Mwanza na mikoa jirani katika Mahafali ya UVCCM SENETI YA MKOA WA MWANZA yatakayofanyika katika Ukumbi wa BOT - MWANZA kuanzia saa 5:00 asubuhi ambapo mgeni rasmi atakua ni KATIBU WA NEC - UCHUMI NA FEDHA, Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndg. Dkt. FRANK GEORGE HAULE HAWASSI.


Hii si yakukosa, Ufahamu na Elimu juu ya Mfumo na Programu za Vyuo na Vyuo Vikuu kutolewa.