MUHIMU MUHIMU MUHIMU Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM inawataka makatibu wa matawi katika vyuo vya kati na vyuo vikuu vyote nchini kujaza taarifa za msingi kama inavyoelekezwa katika kiunganishi (‘link’) cha fomu hiyo hapa chini.

Location: Tanzania
Date Posted: Jan 8, 2022
Application deadline: Jan 9, 2022

Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM inawataka makatibu wa matawi katika vyuo vya kati na vyuo vikuu vyote nchini kujaza taarifa  za msingi  kama inavyoelekezwa katika kiunganishi (‘link’) cha fomu hiyo hapa chini.

Kiunganishi/link hapa chini

Jaza fomu sasa

MAMBO YA KUZINGATIA.

1️⃣ Fomu hii ijazwe na Katibu wa tawi Vyuo na Vyuo Vikuu.

2️⃣ Taarifa zilizoainishwa ni muhimu hivyo Makatibu wana wajibu kujaza vizuri.