VYUO NA VYUO VIKUU BUSINESS PLAN COMPETITION

Location: CCM MAKAO MAKUU DODOMA
Date Posted: Jul 2, 2022
Application deadline: Jul 20, 2022

Wanachuo na wahitimu kutoka katika Matawi ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Tanzania Bara na Zanzibar mnaalikwa kushiriki katika shindano la wazo mradi ili kupata fursa ya kulibadili wazo lako kuwa biashara.

Washindi kumi (10) watapata fursa ya kuendelezwa (Mentorship and Sponsorship).

Kwa taarifa zaidi, tafadhali soma nyaraka iliyoambatanishwa na tangazo hili.
Download