Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Dkt. Frank H. Hawassi anawatakia wanachuo wote Maadhimisho Mema ya Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tuudumishe na tuulinde Muungano wetu adhimu.
#Muungano
#JisajiliSasa
#VyuoNaVyuoVikuu
#UkomboziWaFikiraNaHali