Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Dkt. Frank H. Hawassi anawatakia wanachuo wote Pasaka njema; tusherehekee kwa amani, furaha na utulivu.
Pasipo shaka, simama kwa zamu yako ili uwe kielelezo cha mafanikio kwa wengine katika jamii unayoishi.
#PasakaNjema
#JisajiliSasa
#VyuoNaVyuoVikuu
#UkomboziWaFikiraNaHali