Karibuni kwenye makongamano yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana (UVCCM) katika mikoa ifuatayo; Arusha, Kilimanjaro,Iringa,na Mbeya kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki zoezi la uchaguzi wa ndani ya chama na kushiriki Sensa
ARUSHA: TAREHE 16 APRILI
KILIMANJARO: TAREHE 20 APRILI
MBEYA: TAREHE 23 APRILI
IRINGA: TAREHE 24 APRILI