KARIBUNI APRILI 23 KWENYE KONGAMANO LA SENSA KWA MAENDELEO YA NCHI.

Location: MBEYA
Date Posted: Apr 12, 2022
Application deadline: Apr 23, 2022

Kongamano la sensa kwa maendeleo ya nchi.

Lengo ni kuhamasisha vijana kushiriki sensa na kujua nafasi yao katika sensa mwaka huu, Mafunzo ya Ujasiriamali na Mafunzo ya Mfumo wa Vyuo na Vyuo Vikuu yatatolewa.

Karibuni nyote, Karibuni wanachama wote kutoka matawi ya Vyuo na Vyuo Vikuu Seneti ya Mbeya.


Download