WANACHUO WA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT) WAPATA DARASA LA MAPINDUZI YA FIKRA NA UJASIRIAMALI.

Location: Chuo Cha Usafirishaji (NIT) - Dar es Salaam
Date Posted: Mar 28, 2022
Application deadline: Feb 2, 2023

Machi 26, 2022 Tawi la UVCCM chuo cha Usafirishaji (NIT) liliandaa darasa la Mapinduzi ya fikra na Ujasiriamali lenye lengo la kumbadili kijana wa chuo kifikra na kumpa elimu ya ujasiriamali ili kuleta ukombozi wa hali (kiuchumi) na kiutendaji, kuwa chombo na kielelezo cha kuleta maendeleo katika familia, chama, jamii na Taifa kwa ujumla wake.


Download

Download

Download

Download