HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Location:
Date Posted: Mar 8, 2022
Application deadline: Apr 23, 2024

Kauli mbiu ya mwaka huu ni; “Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo endelevu, jitokeze Kuhesabiwa.”

Tutumie ujana, taaluma na nguvu zetu kuleta Usawa na Haki kwa jamii hivyo kuleta maendeleo endelevu kwa Taifa, Tutumie taaluma zetu kutoa Elimu na kuhamasisha wananchi kujitokeza katika Sensa


Download

Download