HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2022.

Location:
Date Posted: Dec 24, 2021
Application deadline: Dec 24, 2021

Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Dkt. Frank Hawassi anawatakia wanachuo wote heri ya sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2022. 

Tutimize malengo yetu kwa kujisajili katika mfumo wa vyuo vikuu. 

#JisajiliVyuoNaVyuoVikuu

#KaziIendelee

 
Download