MJADALA: “Mchango wa Vijana katika Miaka 60 ya Uhuru na Maono yao kwa Taifa la Tanzania katika Miaka 60 ijayo.”

Location: JUKWAA LA VYUO NA VYUO VIKUU
Date Posted: Dec 15, 2021
Application deadline: Dec 17, 2021

MJADALA KATIKA JUKWAA LA VYUO NA VYUO VIKUU, DESEMBA 17, 2021 SIKU YA IJUMAA.


Mada:

“Mchango wa Vijana katika Miaka 60 ya Uhuru na Maono yao kwa Taifa la Tanzania katika Miaka 60 ijayo.”


Karibuni wanavyuo wa vyuo na vyuo vikuu nchini kushiriki katika mjadala katika jukwaa la Vyuo na Vyuo Vikuu (forum) siku ya Ijumaa tarehe 17 Desemba 2021.


Jisajili sasa katika mfumo wa vyuo na vyuo vikuu ili kushiki.


Ni hoja juu ya hoja, vijana wa vyuo na vyuo vikuu tuna nia na ari kuijenga nchi yetu.


Tembelea:

www.vyuonavyuovikuu.ccm.or.tz/register kujisajili
Download