Tunawakaribisha viongozi wa Seneti nchini katika Mkutano Mkuu wa Seneti Taifa utakaofanyika Tarehe 7 Novemba 2021 katika Ukumbi wa White House - Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Mgeni Rasmi: Dkt. Frank H. Hawassi
Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu wa Chama ambae pia ni Katibu wa NEC - Uchumi na Fedha.